sw_mrk_text_ulb/05/36.txt

1 line
300 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 36 Lakini Yesu aliposikia ambacho walikisema, alimwambia kiongozi wa Sinagogi, "Usiogope. Amini tu." \v 37 Hakumruhusu yeyote kuongozana naye, isipokuwa Petro, Yakobo, na Yohana, ndugu yake Yakobo. \v 38 Walikuja nyumbani kwa kiongozi wa Sinagogi naye aliona vurugu, za kulia kwingi na kuomboleza.