Thu Mar 31 2022 07:19:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-03-31 07:19:13 +03:00
parent 6c1c9fbd6d
commit a092590fd9
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 36 Lakini Yesu aliposikia ambacho walikisema, alimwambia kiongozi wa Sinagogi, "Usiogope. Amini tu." \v 37 Hakumruhusu yeyote kuongozana naye, isipokuwa Petro, Yakobo, na Yohana, ndugu yake Yakobo. \v 38 Walikuja nyumbani kwa kiongozi wa Sinagogi naye aliona vurugu, kulia kwingi na kuomboleza.
\v 36 Lakini Yesu aliposikia ambacho walikisema, alimwambia kiongozi wa Sinagogi, "Usiogope. Amini tu." \v 37 Hakumruhusu yeyote kuongozana naye, isipokuwa Petro, Yakobo, na Yohana, ndugu yake Yakobo. \v 38 Walikuja nyumbani kwa kiongozi wa Sinagogi naye aliona vurugu, za kulia kwingi na kuomboleza.

View File

@ -1 +1 @@
\v 39 Alipoingia nyumbani, aliwaambia, "Kwa nini mmesikitika na kwa nini mnalia? Mtoto hajafa bali amelala." \v 40 Walimcheka, lakini yeye, aliwatoa wote nje, alimchukua baba wa mtoto na mama na wale waliokuwa pamoja naye, na aliingia ndani alimokuwa mtoto.
\v 39 Alipoingia nyumbani, aliwaambia, "Kwa nini mnahuzunika na kwa nini mnalia? Mtoto hajafa bali amelala." \v 40 Walimcheka, lakini yeye, aliwatoa wote nje, alimchukua baba wa mtoto na mama na wale waliokuwa pamoja naye, na aliingia ndani alimokuwa mtoto.

View File

@ -119,6 +119,7 @@
"05-28",
"05-30",
"05-33",
"05-35"
"05-35",
"05-36"
]
}