Wed Apr 20 2022 11:11:46 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-20 11:11:47 +03:00
parent 9848d595fa
commit b94043c243
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 46 wakaanza kuhojiana. \v 47 Lakini Yesu alipotambua walichokuwa wakihojiana mioyoni mwao, alimchukua mtoto mdogo, na kumuweka upande wake, \v 48 na akasema, " kama mtu yeyote akimpokea mtoto mdogo kama huyu kwa jina langu, anipokea mimi pia, na yeyote akinipokea mimi, ampokea pia aliyenituma, kwa kuwa aliye mdogo kati yenu wote ndiye alie mkuu"
\v 46 wakaanza kuhojiana, ni nani atakayekuwa mkubwa miongoni mwao. \v 47 Lakini Yesu alipotambua walichokuwa wakihojiana mioyoni mwao, alimchukua mtoto mdogo, na kumuweka upande wake, \v 48 na akasema, " kama mtu yeyote akimpokea mtoto mdogo kama huyu kwa jina langu, anipokea mimi pia, na yeyote akinipokea mimi, ampokea pia aliyenituma, kwa kuwa aliye mdogo kati yenu wote ndiye alie mkuu"