diff --git a/09/46.txt b/09/46.txt index 362f649..d382d87 100644 --- a/09/46.txt +++ b/09/46.txt @@ -1 +1 @@ -\v 46 wakaanza kuhojiana. \v 47 Lakini Yesu alipotambua walichokuwa wakihojiana mioyoni mwao, alimchukua mtoto mdogo, na kumuweka upande wake, \v 48 na akasema, " kama mtu yeyote akimpokea mtoto mdogo kama huyu kwa jina langu, anipokea mimi pia, na yeyote akinipokea mimi, ampokea pia aliyenituma, kwa kuwa aliye mdogo kati yenu wote ndiye alie mkuu" \ No newline at end of file +\v 46 wakaanza kuhojiana, ni nani atakayekuwa mkubwa miongoni mwao. \v 47 Lakini Yesu alipotambua walichokuwa wakihojiana mioyoni mwao, alimchukua mtoto mdogo, na kumuweka upande wake, \v 48 na akasema, " kama mtu yeyote akimpokea mtoto mdogo kama huyu kwa jina langu, anipokea mimi pia, na yeyote akinipokea mimi, ampokea pia aliyenituma, kwa kuwa aliye mdogo kati yenu wote ndiye alie mkuu" \ No newline at end of file