Mon Apr 25 2022 10:27:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-25 10:27:25 +03:00
parent 05a2520f1d
commit 24c01cd61a
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 42 Akapaza sauti yake na kusema kwa sauti kuu, "umebarikiwa wewe zaidi miongoni mwa wanawake, na mtoto aliyemo tumboni mwako amebarikiwa. \v 43 Na imekuwaje kwangu kwamba, mama wa Bwana wangu ilipasa aje kwangu? \v 44 Kwa kuwa tazama, iliposikika masikoni mwangu sauti ya kusalimia kwako, mtoto tumboni mwangu akaruka kwa furaha. \v 45 Na amebarikiwe mwanamke yule ambaye aliamini ya kwamba ungetokea ukamilifu wa mambo yale aliyoambiwa kutoka kwa Bwana."
\v 42 Akapaza sauti yake na kusema kwa sauti kuu, "umebarikiwa wewe zaidi miongoni mwa wanawake, na mtoto aliyemo tumboni mwako amebarikiwa. \v 43 Na imekuwaje kwangu kwamba, mama wa Bwana wangu anijilie mimi? \v 44 Kwa kuwa tazama, iliposikika masikoni mwangu sauti ya kusalimia kwako, mtoto tumboni mwangu akaruka kwa furaha. \v 45 Na amebarikiwe mwanamke yule ambaye aliamini ya kwamba ungetokea ukamilifu wa mambo yale aliyoambiwa kutoka kwa Bwana."