diff --git a/01/42.txt b/01/42.txt index 08a23cb..6034156 100644 --- a/01/42.txt +++ b/01/42.txt @@ -1 +1 @@ -\v 42 Akapaza sauti yake na kusema kwa sauti kuu, "umebarikiwa wewe zaidi miongoni mwa wanawake, na mtoto aliyemo tumboni mwako amebarikiwa. \v 43 Na imekuwaje kwangu kwamba, mama wa Bwana wangu ilipasa aje kwangu? \v 44 Kwa kuwa tazama, iliposikika masikoni mwangu sauti ya kusalimia kwako, mtoto tumboni mwangu akaruka kwa furaha. \v 45 Na amebarikiwe mwanamke yule ambaye aliamini ya kwamba ungetokea ukamilifu wa mambo yale aliyoambiwa kutoka kwa Bwana." \ No newline at end of file +\v 42 Akapaza sauti yake na kusema kwa sauti kuu, "umebarikiwa wewe zaidi miongoni mwa wanawake, na mtoto aliyemo tumboni mwako amebarikiwa. \v 43 Na imekuwaje kwangu kwamba, mama wa Bwana wangu anijilie mimi? \v 44 Kwa kuwa tazama, iliposikika masikoni mwangu sauti ya kusalimia kwako, mtoto tumboni mwangu akaruka kwa furaha. \v 45 Na amebarikiwe mwanamke yule ambaye aliamini ya kwamba ungetokea ukamilifu wa mambo yale aliyoambiwa kutoka kwa Bwana." \ No newline at end of file