sw_luk_text_ulb/21/37.txt

1 line
207 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 37 Hivyo wakati wa mchana alikuwa akifundisha hekaluni na usiku alitoka nje, na kwenda kukesha katika mlima unaoitwa wa Mzeituni. \v 38 Watu wote walimjia asubuhi na mapemaili kumsikiliza ndani ya hekalu.