Thu Mar 17 2022 09:31:28 GMT+0200 (South Africa Standard Time)

This commit is contained in:
Tomussone José Machinga 2022-03-17 09:31:32 +02:00
commit dbaf66f893
493 changed files with 559 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Wengi wamejitahidi kuweka katika mpangilio simulizi kuhusu masuala ambayo yametimizwa kati yetu, \v 2 kama walivyotupatia sisi, ambao tangu mwanzo ni mashahidi wa macho na watumishi wa ujumbe. \v 3 Hivyo nami pia, baada ya kuchuguza kwa uangalifu chanzo cha mambo haya yote tokea mwanzo - nimeona ni vema kwangu pia kukuandikia katika mpangilio wake - mheshimiwa sana Theofilo. \v 4 Ili kwamba uweze kujua ukweli wa mambo uliyofundishwa.

1
01/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Katika siku za Herode, mfalme wa Yudea, palikuwa na kuhani fulani aliyeitwa Zekaria, wa ukoo wa Abiya. Mke wake alitoka kwa binti za Haruni, na jina lake aliitwa Elizabeti. \v 6 Wote walikuwa wenye haki mbele za Mungu; walitembea bila lawama katika amri zote na maagizo ya Bwana. \v 7 Lakini hawakuwa na mtoto, kwasababu Elizabethi alikuwa tasa, na kwa wakati huu wote wawili walikuwa wazee sana.

1
01/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Sasa ilitokea kwamba Zakaria alikuwa katika uwepo wa Mungu, akiendelea na wajibu wa kikuhani katika utaratibu wa zamu yake. \v 9 Kulingana na desturi ya kuchagua ni kuhani yupi atakayehudumu, alikuwa amechaguliwa kwa kura kuingia katika hekalu la Bwana na hivyo angefukiza uvumba. \v 10 Kundi lote la watu lilikuwa likiomba nje wakati wa kufukizwa kwa ufumba.

1
01/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Sasa malaika wa Bwana alimtokea na kasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia. \v 12 Zakaria alitishika alipomuona; hofu ikamwangukia. \v 13 Lakini malaika akamwambia, "Usiogope Zakaria, kwasababu maombi yako yamesikika. Mke wako Elizabeth atakuzalia mwana. Jina lake utamwita Yohana.

1
01/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Utakuwa na furaha na uchangamfu, na wengi watakufurahia kuzaliwa kwake. \v 15 Kwa kuwa atakuwa mkuu mbele ya macho ya Bwana. Hatakunywa divai au kinywaji kikali, na atakuwa amejazwa na Roho Mtakatifu tangu tumboni mwa mama yake.

1
01/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Na watu wengi wa Israel watageuzwa kwa Bwana Mungu wao. \v 17 Atakwenda mbele za uso wa Bwana katika roho na nguvu ya Eliya. Atafanya hivi ili kurejesha mioyo ya baba kwa watoto, ili kwamba wasiotii wataenenda katika hekima ya wenye haki. Atafanya hivi kuweka tayari kwa Bwana watu ambao wameandaliwa kwa ajili yake."

1
01/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Zakaria akamwambia malaika, "Nitawezaje kujua hili? Kwasababu mimi ni mzee na mke wangu miaka yake imekuwa mingi sana." \v 19 Malaika akajibu na kumwambia, "Mimi ni Gabrieli, ambaye husimama mbele za Mungu. Nilitumwa kukwambia, kukuletea habari hii njema. \v 20 Na tazama, hutaongea, utakuwa kimya, hutaweza kuongea mpaka siku ile mambo haya yatakapotokea. Hii ni kwasababu ulishindwa kuamini maneno yangu ambayo yatatimizwa kwa wakati mwafaka."

1
01/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Sasa watu walikuwa wakimsubiri Zakaria. Walishangazwa kwamba alikuwa anatumia muda mwingi hekaluni. \v 22 Lakini alipotoka nje, hakuweza kuongea nao. Wakatambua kwamba alikuwa amepata maono alipokuwa hekaluni. Aliendelea kuonesha ishara na alibaki kimya. \v 23 Ikatokea kwamba siku za huduma yake zilipokwisha aliondoka kurudi nyumbani kwake.

1
01/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Baada ya Zakaria kurudi nyumbani kutoka kwenye huduma yake hekaluni, mke wake akawa mjamzito. Naye hakutoka nyumbani mwake kwa muda wa miezi mitano. Akasema, \v 25 "Hili ndilo amabalo Bwana amefanya kwangu aliponitazama kwa upendeleo ili kuiondoa aibu yangu mbele za watu."

1
01/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Sasa, katika mwezi wa sita wa mimba ya Elizabeti, Mungu alimwambia malaika Gabrieli kwenda kwenye mji wa Galilaya uitwao Nazareti, \v 27 kwa bikra aliyekuwa ameposwa na mwanaume ambaye jina lake lilikuwa Yusufu. Yeye alikuwa wa ukoo wa Daudi, na jina la bikra huyo lilikuwa Mariamu. \v 28 Akaja kwake na akasema, "Salaam, wewe uliyepokea neema kuu! Bwana amependezwa nawe." \v 29 Lakini maneno ya malaika yalimchanganya na hakuelewa kwa nini malaika alisema salaam hii ya ajabu kwake.

1
01/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Malaika akamwambia, "Usiogope, Mariamu, maana umepata neema kutoka kwa Mungu. \v 31 Na tazama, utabeba mimba katika tumbo lako na utazaa mwana. Nawe utamwita jina lake 'Yesu.' \v 32 Atakuwa mkuu na ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake. \v 33 Atatawala juu ya ukoo wa Yakobo milele na ufalme wake hautakuwa na mwisho.

1
01/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 Mariamu akamwambia malaika, hili litatokea kwa namna gani, maana sijawahi kulala na mwanaume yeyote? \v 35 Malaika akajibu na akamwambia, "Roho Mtakatifu atakujia juu yako, na nguvu ya Aliye Juu Sana itakuja juu yako. Kwa hiyo, mtakatifu atakayezaliwa ataitwa Mwana wa Mungu.

1
01/36.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 36 Na tazama, ndugu yako Elizabeti anaujauzito wa mwana kwenye umri wake wa uzee. Huu ni mwezi wa sita kwake, ambaye alikuwa anaitwa mgumba. \v 37 Maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu." \v 38 Mariamu akasema, "Tazama, mimi ni mtumishi wa kike wa Bwana. Acha iwe hivyo kwangu sawa sawa na ujumbe wako." Kisha malaika akamwacha.

1
01/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Ndipo katika siku hizo Mariamu aliondoka na kwa haraka alikwenda katika nchi ya vilima, kwenye mji katika nchi ya Yudea. \v 40 Alikwenda nyumbani mwa Zekaria na akamsalimia Elizabeti. \v 41 Sasa, ilitokea kwamba Elizabeti aliposikia salamu ya Mariamu, mtoto tumboni mwake akaruka, na Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu.

1
01/42.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 42 Akapaza sauti yake na kusema kwa sauti kuu, "umebarikiwa wewe zaidi miongoni mwa wanawake, na mtoto aliyemo tumboni mwako amebarikiwa. \v 43 Na imekuwaje kwangu kwamba, mama wa Bwana wangu ilipasa aje kwangu? \v 44 Kwa kuwa tazama, iliposikika masikoni mwangu sauti ya kusalimia kwako, mtoto tumboni mwangu akaruka kwa furaha. \v 45 Na amebarikiwe mwanamke yule ambaye aliamini ya kwamba ungetokea ukamilifu wa mambo yale aliyoambiwa kutoka kwa Bwana."

1
01/46.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 46 Mariamu akasema, nafsi yangu inamsifu Bwana, \v 47 na roho yangu imefurahi katika Mungu Mwokozi wangu.

1
01/48.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 48 Kwa maana ameiangalia hali ya chini ya mtumishi wake wa kike. Tazama, tangu sasa katika vizazi vyote wataniita mbarikiwa. \v 49 Kwa maana yeye aliyemweza amefanya mambo makubwa kwangu, na jina lake ni takatifu.

1
01/50.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 50 Rehema yake inadumu toka kizazi hata kizazi kwa wale wanao mheshimu yeye. \v 51 Ameonesha nguvu kwa mkono wake; amewatawanya wale ambao walijivuna juu ya mawazo ya mioyo yao.

1
01/52.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 52 Amewashusha chini wana wa wafalme toka katika viti vyao vya enzi na kuwainua juu walio na hali ya chini. \v 53 Aliwashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu.

1
01/54.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 54 Ametoa msaada kwa Israeli mtumishi wake, ili kukumbuka kuonesha rehema \v 55 (kama alivyosema kwa baba zetu) kwa Abrahamu na uzao wake milele."

1
01/56.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 56 Mariamu alikaa na Elizabeti yapata miezi mitatu hivi ndipo akarudi nyumbani kwake. \v 57 Sasa wakati ulikuwa umewadia kwa Elizabeti kujifungua mtoto wake na akajifungua mtoto wa kiume. \v 58 Jirani zake na ndugu zake walisikia jinsi Bwana alivyoikuza rehema kwake, na wakafurahi pamoja naye.

1
01/59.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 59 Sasa ilitokea siku ya nane kwamnba walikuja kumtahiri mtoto. Ingewapasa kumwita jina lake, "Zekaria," kwa kuzingatia jina la baba yake, \v 60 Lakini mama yake akajibu na kusema, "Hapana; ataitwa Yohana." \v 61 Wakamwambia, hakuna hata mmoja katika ndugu zako anayeitwa kwa jina hili."

1
01/62.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 62 Wakamfanyia ishara baba yake kuashiria yeye alitaka jina aitwe nani. \v 63 Baba yake akahitaji kibao cha kuandikia, na akaandika, "Jina lake ni Yohana." Wote wakashangazwa na hili.

1
01/64.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 64 Ghafla mdomo wake ukafunguliwa na ulimi wake ukawa huru. Akaongea na kumsifu Mungu. \v 65 Hofu ikawajia wote walioishi karibu nao. Mambo haya yakaenea katika nchi yote ya vilima vya Yudea. \v 66 Na wote walioyasikia wakayatunza mioyoni mwao, wakisema, " Mtoto huyu kuwa wa namna gani?" Kwasababu mkono wa Bwana ulikuwa pamoja naye.

1
01/67.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 67 Baba yake Zekaria alijazwa na Roho Mtakatifu na akatoa unabii, akisema, \v 68 "Asifiwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa sababu amesaidia na alishughulikia wokovu kwa watu wake.

1
01/69.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 69 Ametuinulia pembe ya wokovu katika nyumba ya mtumishi wake Daudi, kutoka miongoi mwa mwa ukoo wa mtumishi wake Daudi, \v 70 kama alivyosema kwa kinywa cha manabii wake waliokuweko katika nyakati za kale. \v 71 Atatuoka kutoka kwa adui zetu na kutoka mikononi mwa wote wanaotuchukia.

1
01/72.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 72 Atafanya hivi kuonesha rehema kwa baba zetu, na kukumbuka agano lake takatifu, \v 73 kiapo alichokisema kwa Abrahamu baba yetu. \v 74 Aliapa kuthibitha kwamba ingewezekana kumtumikia Yeye bila hofu, baada ya kuokolewa kutoka katika mikononi ya adui zetu. \v 75 katika utakatifu na haki mbele zake siku zetu zote.

1
01/76.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 76 Ndiyo, na wewe mtoto, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana, kwa kuwa utaenenda mbele za uso wa Bwana ili kumwandalia njia, kuwaandaa watu kwa ajili ya ujio wake, \v 77 kuwafahamisha watu wake kwamba, wataokolewa kwa njia ya kusamehewa dhambi zao.

1
01/78.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 78 Hili litatokea kwa sababu ya huruma ya Mungu wetu, sababu ambayo jua tokea juu litatujia, \v 79 kuangaza kwao wakaao gizani na katika uvuli wa mauti. Atafanya hivi kuiongoza miguu yetu kwenye njia ya amani."

1
01/80.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 80 Sasa, yule mtoto akakua na kuwa mwenye nguvu rohoni na alikaa nyikani mpaka siku ya kujitokeza kwake kwa Israeli.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Sasa katika siku hizo, ikatokea kwamba Kaisari Agusto alitoa agizo akielekeza kwamba ichukuliwe sensa ya watu wote wanaoishi duniani. \v 2 Hii ilikuwa ni sensa ya kwanza iliyofanyika wakati Krenio akiwa gavana wa Siria. \v 3 Hivyo kila mmoja akaenda mjini kwake kuandikishwa sensa.

1
02/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Naye Yusufu aliondoka pia katika mji wa Nazareti huko Galilaya na akasafiri Yudea katika mji wa Bethlehemu, ujulikanao kama mji wa Daudi, kwa sababu alitokea katika ukoo ya Daudi. \v 5 Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, ambaye alikuwa amemposa na alikuwa akitazamia mtoto.

1
02/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Sasa ilitokea kwamba, wakiwa kule wakati wake wa kujifungua mtoto ukawadia. \v 7 Akajifungua mtoto wa kiume, mzaliwa wake wa kwanza, akamzungushia nguo mwilini kumkinga na baridi mtoto. Ndipo akamweka kwenye kihori cha kulishia wanyama, kwa sababu haikuwepo nafasi kwenye nyumba za wageni.

1
02/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Katika eneo hilo, walikuwapo wachungaji walioishi mashambani wakilinda makundi ya Kondoo wao usiku. \v 9 Ghafla, malaika wa Bwana akawatokea, na utukufu wa Bwana ukang'aa kuwazunguka, na wakawa na hofu sana.

1
02/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Ndipo malaika akwaambia, "Msiogope, kwasababu nawaletea habari njema ambayo italeta furaha kuu kwa watu wote. \v 11 Leo Mwokozi kazaliwa kwaajili yenu mjini mwa Daudi! Yeye ndiye Kristo Bwana! \v 12 Hii ndiyo ishara ambayo mtapewa, mtamkuta mtoto amefungwa nguo na amelala kwenye hori la kulishia wanyama."

1
02/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Ghafla kukawa na jeshi kubwa la mbinguni likaungana na malaika huyo wakamsifu Mungu, wakisema, \v 14 "Utukufu kwa Mungu aliye juu sana, na amani iwe duniani kwa wote ambao anapendezwa nao."

1
02/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Ikawa kwamba malaika walipokwisha kuondoka kwenda mbinguni, wachungaji wakasemezena wao kwa wao, " Twendeni sasa kule Bethlehemu, na tukaone hiki kitu ambacho kimetokea, ambacho Bwana ametufahamisha." \v 16 Wakaharakisha kule, na wakamkuta Mariamu na Yusufu, na wakamuona mtoto amelala kwenye hori la kulishia wanyama.

1
02/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Na walipoona hivi, wakawajulisha watu kile walichokuwa wameambiwa kumhusu mtoto. \v 18 Wote waliosikia habari hii wakashangazwa na kile kilichosemwa na wachungaji. \v 19 Lakini Mariamu akaendelea kufikiri kuhusu yote aliyokwisha kuyasikia, akiyatunza moyoni mwake. \v 20 Wachungaji wakarudi wakimtukuza na kumsifu Mungu kwa ajili ya kila kitu walichokwisha sikia na kuona, kama tu ilivyokuwa imenenwa kwao.

1
02/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Ilipofika siku ya nane na ilikuwa ni wakati wa kumtahiri mtoto, wakamwita jina Yesu, jina alilokwishapewa na yule malaika kabla mimba haijatungwa tumboni.

1
02/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 zao zilizotakiwa za utakaso zilipopita, kulingana na sheria ya Musa, Yusufu na Mariamu wakampeleka hekaluni kule Yerusalemu kumweka mbele za Bwana. \v 23 Kama ilivyoandikwa katika sheria ya Bwana, "Kila mwanaume anayefungua tumbo ataitwa aliyetolewa wakfu kwa Bwana." \v 24 Wao vilevile walikuja kutoa sadaka kulingana na kile kinachosemwa katika sheria ya Bwana, "Jozi ya njiwa au makinda mawili ya njiwa."

1
02/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Tazama, palikuwa na mtu katika Yerusalemu ambaye jina lake alikuwa akiitwa Simeoni. mtu huyu alikuwa mwenye haki na mcha Mungu. Yeye alikuwa akisubiri kwa ajili ya mfariji wa Israeli, na Roho Mtakatifu alikuwa juu yake. \v 26 Ilikuwa imekwisha funuliwa kwake kupitia Roho Mtakatifu kwamba yeye hangelikufa kabla ya kuwomwona Kristo wa Bwana.

1
02/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Siku moja alikuja ndani ya hekalu, akiongozwa na Roho Mtakatifu. Ambapo wazazi walimleta mtoto, Yesu, kumfanyia yale yaliyopasa kawaida ya sheria, \v 28 ndipo Simeoni alimpokea mikononi mwake, na akamsifu Mungu na kusema, \v 29 "Sasa ruhusu mtumishi wako aende kwa amani Bwana, kulingana na Neno lako.

1
02/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Kwa kuwa macho yangu yameuona wakovu wako, \v 31 ambao umeonekana kwa macho ya watu wote. \v 32 Yeye ni nuru kwa ajili ya ufunuo kwa Wamataifa na utukufu wa watu Israeli."

1
02/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Baba na Mama wa mtoto walishangazwa kwa mambo ambayo yalizungumzwa juu yake. \v 34 Ndipo Simeoni akawabariki na akasema kwa Mariamu mama yake, "Sikiliza kwa makini! Mtoto huyu atakuwa sababu ya kupotea na kuokoka kwa watu wengi katika Israeli na ni ishara ambayo watu wengi wataipinga. \v 35 Pia ni upanga utakaochoma nafsi yako mwenyewe, ili kwamba mawazo ya mioyo ya wengi yadhihirike".

1
02/36.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 36 Nabii mwanamke aliyeitwa Ana pia alikuwako hekaluni. Yeye alikuwa binti wa Fanueli kutoka kabila la Asheri. Alikuwa na miaka mingi sana. Naye aliishi na mume wake kwa miaka saba baada ya kuoana, \v 37 na ndipo akawa mjane kwa miaka themanini na minne. Naye hakuwahi kuondoka hekaluni na alikuwa akiendelea kumwabudu Mungu pamoja na kufunga na kuomba, usiku na mchana. \v 38 Na kwa wakati huo, alikuja pale walipo akaanza kumshukuru Mungu. Aliongea kumhusu mtoto kwa kila mtu ambaye alikuwa akisubiri ukombozi wa Yerusalemu.

1
02/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Walipomaliza kila kitu walichotakiwa kufanya kuligana na na sheria ya Bwana, walirudi Galilaya, mjini kwao, Nazareti. \v 40 Mtoto alikua, na akawa na nguvu, akiongezeka katika hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake.

1
02/41.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 41 Wazazi wake kila mwaka walikwenda Yerusalemu kwaajili ya sikukuu ya Pasaka. \v 42 Alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, walikwenda tena wakati mwafaka kidesturi kwa ajili ya sikukuu. \v 43 Baada ya kubaki siku zote kwa ajili ya sikukuu, walianza kurudi nyumbani. Lakini mvulana Yesu alibaki nyuma mle Yerusalemu na wazazi wake hawakujua hili. \v 44 Walidhani kwamba yumo kwenye kundi walilokuwa wakisafiri nalo, hivyo walisafiri safari ya siku. Ndipo wakaanza kumtafuta miongoni wa ndugu na marafiki zao.

1
02/45.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 45 Waliposhindwa kumpata, walirudi Yerusalemu na wakaanza kumtafuta humo. \v 46 Ikatokea kwamba baada ya siku tatu, wakampata hekaluni, akiwa ameketi katikati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali. \v 47 Wote waliomsikia walishangazwa na ufahamu wake na majibu yake.

1
02/48.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 48 Walipomwona, walistaajabu. Mama yake akamwambia, "Mwanangu, kwa nini umetutendea hivi? Sikiliza, baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta kwa wasiwasi mkubwa." \v 49 Akawaambia, "Kwa nini mmekuwa mkinitafuta? Hamkujua kwamba lazima niwe kwenye nyumba ya Baba yangu? \v 50 Lakini hawakuelewa nini alichomaanisha kwa maneno hayo.

1
02/51.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 51 Ndipo akaenda pamoja nao mpaka nyumbani Nazareti na alikuwa mtii kwao. Mama yake alihifadhi mambo yote moyoni mwake. \v 52 Lakini Yesu aliendelea kukua katika hekima na kimo, na akazidi kupendwa na Mungu na watu.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Sasa, katika mwaka wa kumi na tano wa utawala wa Kaisari Tiberia, wakati Pontio Pilato alikuwa gavana wa Uyahudi, Herode alikuwa mkuu wa mkoa wa Galilaya, na Filipo ndugu yake alikuwa mkuu wa mkoa wa Iturea na Trakoniti, na Lisania alikuwa mkuu wa mkoa wa Abilene, \v 2 na wakati wa ukuhani mkuu wa Anasi na Kayafa, Neno la Mungu lilimjia Yohana mwana wa Zakaria, jangwani.

1
03/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Alisafiri katika mkoa wote kuzunguka Mto Yordani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi

1
03/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha maneno ya Isaya nabii, "sauti ya mtu aliaye nyikani, "Itengenezeni tayari njia ya Bwana, yatengenezeni mapito yake yaliyoonyoka.

1
03/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Kila bonde litajazwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa, barabara zilizopinda zitanyoshwa, na njia zilizoparaza zitalainishwa. \v 6 Watu wote watauona wokovu wa Mungu."

1
03/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Hivyo, Yohana akawaambia makutano makubwa ya watu waliomjia wapate kubatizwa na yeye, "Ninyi uzao wa nyoka wenye sumu, nani aliwaonya kuikimbia gadhabu inayokuja?

1
03/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Zaeni matunda yanayoedana na toba, na msianze kusema ndani yenu, "Tunaye Ibarahimu ambaye ni baba yetu; kwa sababu nawaambia ya kwamba, Mungu anaweza kumwinulia Ibrahimu watoto hata kutokana na mawe haya.

1
03/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Tayari shoka limeshawekwa kwenye mzizi wa miti. Hivyo, kila mti usiozaa matunda mema, hukatwa na kutupwa motoni.

1
03/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Kisha watu katika makutano walimuuliza wakisema, "Sasa tunatakiwa tufanyeje?" \v 11 Alijibu na kuwaambia, "kama mtu ana kanzu mbili anatakiwa atoe kanzu moja kwa mwingine ambaye hana kabisa, na ambaye ana chakula na afanye vivyo hivyo."

1
03/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Kisha baadhi ya watoza ushuru walikuja pia kubatizwa, na wakamwambia, "Mwalimu, tunatakiwa kufanya nini? \v 13 Akawaambia, "Msikusanye fedha zaidi kuliko mnachotakiwa kukusanya."

1
03/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Baadhi ya maaskari pia wakamuuliza wakisema, "Na sisi je? Tunatakiwa tufanye nini?" Akawambia, "Msichukue fedha kwa mtu yeyote kwa nguvu, na msimtuhumu mtu yeyote kwa uongo. Ridhikeni na mishahara yenu."

1
03/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Sasa, kwa kuwa watu walikuwa na shauku ya kumngojea Kristo atakaye kuja, kila mmoja alikuwa anawaza moyoni mwake kuhusu Yohana kama yeye ndiye Kristo. \v 16 Yohana akajibu kwa kuwaambia wote, "Mimi nawabatiza ninyi kwa maji, lakini kuna mmoja ajaye ambaye ana nguvu kuliko mimi, na sisitahili hata kufungua kamba za viatu vyake. Atawabatiza ninyi kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.

1
03/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Pepeto lake liko mkononi mwake ili kusafisha vizuri uwanda wake wa kupepetea ngano na kuikusanya ngano ghalani mwake. Lakini, atayateketeza makapi kwa moto ambao hauwezi kuzimika.

1
03/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kwa maonyo mengine mengi pia, alihubiri habari njema kwa watu. \v 19 Yohana alimkemea pia Herode mkuu wa mkoa kwa kumuoa Herodia, mke wa ndugu yake na kwa maovu mengine mengi ambayo Herode alikuwa ameyatenda. \v 20 Lakini baadaye Herode alifanya uovu mwingine mbaya sana. Alimfunga Yohana gerezani.

1
03/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Kisha ilitokea kwamba, wakati watu wote walipokuwa wakibatizwa na Yohana, naye Yesu alibatizwa pia. Wakati alipokuwa akiomba, mbingu zikafunguka. \v 22 Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili kama njiwa, wakati huo huo sauti ikaja kutoka mbinguni ikisema, "Wewe ni Mwanangu mpendwa. Ninapendezwa sana na wewe."

1
03/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Sasa Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa na umri upatao miaka thelathini. Alikuwa ni mwana (kama ilivyotadhaniwa) wa Yusufu, mwana wa Eli, \v 24 mwana wa Mathati, mwana wa Lawi, mwana wa Melki, mwana wa Yana, mwana wa Yusufu,

1
03/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 mwana wa Matathia, mwana wa Amosi, mwana wa Nahumu, mwana wa Esli, mwana wa Nagai, \v 26 mwana wa Maati, mwana wa Matathia, mwana wa Semeini, mwana wa Yusufu, mwana wa Yuda,

1
03/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 mwana wa Yoanani, mwana wa Resa, mwana wa Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, mwana wa Neri, \v 28 mwana wa Melki, mwana wa Adi, mwana wa Kosamu, mwana wa Elmadamu, mwana wa Eri, \v 29 mwana wa Yoshua, mwana wa Eliezeri,, mwana wa Yorimu, mwana wa Matathi, mwana wa Lawi,

1
03/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 mwana wa Simeoni, mwana wa Yuda, mwana wa Yusufu, mwana wa Yonamu, mwana wa Eliyakimu, \v 31 mwana wa Melea, mwana wa Mena, mwana wa Matatha, mwana wa Nathani, mwana wa Daudi, \v 32 mwana wa Yese, mwana wa Obedi, mwana wa Boazi, mwana wa Salmoni, mwana wa Nashoni,

1
03/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 mwana wa Abinadabu, mwana wa Aramu, mwana wa Hesroni,, mwana wa Peresi, mwana wa Yuda, \v 34 mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Ibrahimu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori, \v 35 mwana wa Seruig, mwana wa Ragau, mwana wa Pelegi, mwana wa Eberi, mwana wa Sala,

1
03/36.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 36 mwana wa Kenani, mwana wa Arfaksadi, mwana wa Shemu, mwana wa Nuhu, mwana wa Lameki, \v 37 mwana wa Methusela, mwana wa Henoko, mwana wa Yaredi, mwana Mahalalei, mwana wa Kenani, \v 38 mwana wa Enoshi, mwana wa Sethi, mwana wa Adamu, mwana wa Mungu.

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha, Yesu akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Mto Jordani, na aliongozwa na Roho jangwani \v 2 kwa siku arobaini, na huko alijaribiwa na Ibilisi. Wakati huo hakula chochote, na mwisho wa wakati huo alihisi njaa.

1
04/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Ibilisi akamwambia, "Kama wewe ni Mwana wa Mungu, liamru jiwe hili kuwa mkate." \v 4 Yesu akamjibu, "Imeandikwa; 'mtu hataishi kwa mkate pekee."

1
04/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Kisha Ibilisi alimwongoza juu kwenye kilele cha mlima, na akamwonyesha falme zote za dunia kwa muda mfupi. \v 6 Ibilisi akamwambia, "Nitakupa mamlaka ya kutawala falme hizi zote pamoja na fahari zake. Naweza kufanya hivyo kwa sababu vyote vimekabidhiwa kwangu nivitawale, na ninaweza kumpa yeyote nitakaye kumpa. \v 7 Kwahiyo, kama utaniinamia na kuniabudu, vitu hivi vyote vitakuwa vyako."

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Lakini Yesu alijibu na kumwambia, "Imeandikwa, "lazima umwabudu Bwana Mungu wako, na lazima umtumikie Yeye peke yake."

1
04/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Baadaye Ibilisi alimwongoza Yesu hadi Yerusalemu na kumweka sehemu ya juu kabisa ya jengo la hekalu na kumwambia, "Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini kutoka hapa. \v 10 Kwa sababu imeandikwa, "Atawaagiza malaika zake wakutunze na kukulinda, \v 11 na watakuinua juu mikononi mwao ili kwamba usiumize miguu yako juu ya jiwe."

1
04/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Yesu akijibu alimwambia, "Imenenwa, "usimjaribu Bwana Mungu wako." \v 13 Ibilisi alipomaliza kumjaribu Yesu, alienda zake na kumwacha hadi wakati mwingine.

1
04/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kisha Yesu alirudi Galilaya kwa nguvu za Roho, na habari kumhusu yeye zikaenea na kusambaa katika mikoa jirani yote. \v 15 Alifundisha katika masinagogi yao, na kila mmoja alimsifu.

1
04/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Siku moja alikwenda Nazareti, mji ambao alilelewa na kukulia. Kama ilivyokuwa desturi yake aliingia kwenye sinagogi siku ya sabato, na alisimama kusoma maandiko. \v 17 Alikabidhiwa gombo la nabii Isaya, hivyo, alilifungua gombo na akatafuta sehemu iliyoandikwa,

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 "Roho wa Bwana yuu juu yangu, kwa sababu alinitia mafuta kuhubiri habari njema kwa maskini. Amenituma kutangaza uhuru kwa wafungwa, na kuwafanya wasioona waweze kuona tena. Kuwaweka huru wale wanaogandamizwa, \v 19 kuutangaza mwaka ambao Bwana ataonesha wema wake."

1
04/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kisha akalifunga gombo, akamrudishia kiongozi wa sinagogi, na akaketi chini. Macho ya watu wote waliokuwa katika sinagogi yalimwangalia yeye. \v 21 Alianza kuzungumza nao akisema, "Leo andiko hili limetimizwa masikioni mwenu." \v 22 Kila mmoja pale alishuhudia kile alichokisema Yesu, na wengi miongoni mwao walishangazwa na maneno ya hekima yaliyokuwa yakitoka katika kinywa chake. Walikuwa wakisema, "huyu ni kijana tu wa Yusufu, siyo hivyo?"

1
04/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Yesu akawaambia, "hakika mtasema methali hii kwangu, "Tabibu, jiponye mwenyewe. Chochote tulichosikia ukifanya Kapernaumu, kifanye hapa pia kijijini kwako." \v 24 Pia alisema, "hakika nawaambia ninyi, hakuna nabii anayekubalika katika nchi yake."

1
04/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Lakini nawaambia ninyi kweli kwamba kulikuwa na wajane wengi Israel katika kipindi cha Eliya, wakati mbingu ilipofungwa kusiwe na nvua kwa miaka mitatu na nusu, wakati kulipokuwa na njaa kubwa katika nchi yote. \v 26 Lakini Eliya hakutumwa kwa yeyote mmoja wao, lakini kwa mjane mmoja tu aliyeishi Sarepta karibu na mji wa Sidoni. \v 27 Pia, kulikuwa na wakoma wengi Israel katika kipindi cha Elisha nabii, lakini hakuna hatammoja wao aliyeponywa isipokuwa Naamani mtu wa Siria.

1
04/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Watu wote ndani ya sinagogi walijawa na gadhabu walipoyasikia haya yote. \v 29 Walisimama na kumsukumizia nje ya mji, na kumwongoza mpaka kwenye ukingo wa mlima wa mji ambapo mji wao ulijengwa juu yake, ili waweze kumtupa chini. \v 30 Lakini alipita salama katikati yao na akaenda zake.

1
04/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Kisha alitelemkia Kapernaumu, katika mji wa Galilaya. Sabato moja alikuwa akifundisha watu ndani ya sinagogi. \v 32 Walishangazwa na mafundisho yake, kwasababu alifundisha kwa mamlaka.

1
04/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Sasa siku hiyo ndani ya sinagogi, kulikuwa na mtu aliyekuwa na roho ya pepo mchafu, na alilia kwa sauti ya juu, \v 34 "Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza? Ninajua wewe ni nani! Wewe ni mtakatifu wa Mungu!"

1
04/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Yesu alimkemea pepo akisema, "Nyamaza kimya, na umtoke mtu huyu!" Pepo yule alipomtupa mtu yule chini katikati yao, alimtoka yule mtu bila ya kumsababishia maumivu yoyote. \v 36 Watu wote walishangaa, na waliendelea kuzungumzia jambo hilo kila mmoja na mwenzake. Wakasema, "Ni maneno ya aina gani haya?" Anawaamuru roho wachafu kwa mamlaka na nguvu na watondoka." \v 37 Hivyo, habari juu ya Yesu zilienea kila sehemu katika maeneo yanayozunguka mkoa huo.

1
04/38.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 38 Kisha Yesu aliondoka katika mji huo na akaingia katika nyumba ya Simoni. Sasa, mama mkwe wake na Simoni alikuwa anaumwa homa kali, na wakamsihi kwa niaba yake. \v 39 Hivyo, Yesu alimsogelea, akaikemea ile homa na ikamwachia. Ghafla alisimama na akaanza kuwatumikia.

1
04/40.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 40 Jua lilipokuwa likizama, watu walimletea Yesu kila mmoja aliyekuwa mgonjwa wa maradhi ya aina mbalimbali. Aliweka mikono yake juu ya kila mgonjwa na akawaponya wote. \v 41 Mapepo pia yaliwatoka wengi wao yakilia kwa sauti na kusema, "Wewe ni mwana wa Mungu!" Yesu aliwakemea mapepo na hakuwaruhusu waongee, kwa sababu walijua kwamba yeye alikuwa ni Kristo.

1
04/42.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 42 Wakati kulipopambazuka, alienda eneo lisilokuwa na watu. Makutano ya watu walikuwa wakimtafuta na wakaja katika eneo alilokuwapo. Walijaribu kumzuia asiende mbali na wao. \v 43 Lakini akawaambia, "Lazima pia nihubiri habari njema za ufalme wa Mungu katika miji mingine mingi, kwa kuwa hii ndiyo sababu nilitumwa hapa." \v 44 Kisha aliendelea kuhubiri ndani ya masinagogi katika uyahudi wote.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Basi ilitokea wakati watu walipomkusanyikia na kumzunguka Yesu na kusikiliza neno la Mungu, ambapo alikuwa amesimama kando ya ziwa Genesareti. \v 2 Aliona mashua mbili zimetia nanga pembeni mwa ziwa. Wavuvi walikuwa wametoka na walikuwa wakiosha nyavu zao. \v 3 Yesu akaingia katika mojawapo ya zile mashua, ambayo ilikuwa ya Simoni na kumwomba aipeleke majini mbali kidogo na nchi kavu. Kisha akakaa na kufundisha kutokea kwenye mashua.

1
05/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 kuongea, akamwambia Simoni, "Ipeleke mashua yako mpaka kwenye kilindi cha maji nakushusha nyavu zako ili kuvua samaki." \v 5 Simon akajibu na kusema, Bwana, tumefanya kazi usiku wote, na hatukukamata chochote, lakini kwa neno lako, nitazishusha nyavu. \v 6 Walipofanya hivyo walikusanya kiasi kikubwa cha samaki na nyavu zao zikaanza kukatika. \v 7 Hivyo wakawaashiria washirika wao kwenye mashua nyingine ili waja na kuwasaidia. Walikuja wakazijaza mashua zote, kiasi kwamba zikaanza kuzama.

1
05/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Lakini Simoni Petro, alipoona hivyo, alianguka magotini pa Yesu akisema,"Ondoka kwangu, kwa sababu mimi ni mtu mwenye dhambi Bwana." \v 9 Kwa sababu alishangazwa, na wote waliokuwa pamoja naye, kwa uvuvi wa samaki waliokuwa wameufanya. \v 10 Hili liliwajumuisha Yakobo na Yohana wana wa Zebedayo, ambao walikuwa washirika wa Simoni. Na Yesu akamwambia Simoni, "Usiogope, kwa sababu kuanzia sasa na kuendelea utavua watu." \v 11 Walipokwishazileta mashua zao nchi kavu, waliacha kila kitu na kumfuata yeye.

1
05/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Ilitokea kwamba alipokuwa katika mji mmojawapo, mtu aliyekuwa amejaa ukoma alikuwa huko. Wakati alipomuona Yesu, alianguka akiinamisha uso kwake mpaka chini na kumuomba, akisema, "Bwana, ikiwa unataka, waweza kunitakasa." \v 13 Kisha Yesu alinyoosha mkono wake na kumgusa, akisema, "Nataka. Takasika." Na saa ileile ukoma ukamwacha.

1
05/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 "Alimwagiza asimwambie mtu yeyote, lakini alimwambia, "Nenda zako, na ukajionyeshe kwa makuhani na utoe sadaka ya utakaso wako, sawasawa na kile Musa alichokiamuru, kwa ushuhuda kwao."

1
05/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Lakini habari kumuhusu yeye zikaenea mbali zaidi, na umati mkubwa wa watu ukaja pamoja kumsikiliza akifundisha na kuponywa magonjwa yao. \v 16 Lakini mara kwa mara alijitenga faraghani na kuomba.

1
05/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Ilitokea siku moja kati ya hizo siku alikuwa akifundisha, na walikuwapo Mafarisayo na waalimu wa sheria wamekaa hapo ambao walikuja wakitokea vijiji vingi tofauti katika mkoa wa Galilaya na Yudea, na pia kutokea katika mji wa Yerusalemu. Nguvu ya Bwana ilikuwa pamoja naye kuponya.

1
05/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 watu kadhaa walikuja, wamembeba kwenye mkeka mtu aliyepooza, na wakatafuta njia ya kumwingiza ndani ili kumlaza chini mbele ya Yesu. \v 19 Hawakupata njia ya kumwingiza ndani kwa sababu ya umati, hivyo walipanda juu ya paa la nyumba na kumshusha yule mtu chini kupitia kwenye vigae, juu mkeka wake katikati ya watu, mbele kabisa ya Yesu.

1
05/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Akiangalia imani yao, Yesu alisema, "Rafiki, dhambi zako umesamehewa." \v 21 Waandishi na Mafarisayo waliaanza kuhoji hilo, wakisema, "Huyu ni nani anayeongea makufuru? Ni nani anaweza kusamehe dhambi ila Mungu pekee yake?"

1
05/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Lakini Yesu, akitambua nini walichokuwa wakifikiri, aliwajibu na kuwaambia, "Kwa nini mnaulizana hili mioyoni mwenu? \v 23 Kipi ni rahisi kusema, 'Dhambi zako zimesamehewa' au kusema 'Simama utembee?' \v 24 Lakini mjue ya kwamba Mwana wa Adamu anayo mamlaka duniani ya kusamehe dhambi, Nakwambia wewe, 'Amka, chukua mkeka wako na uende nyumbani kwako.'"

1
05/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Wakati huo huo akaamka mbele yao na akachukua mkeka wake aliokuwa ameulalia. Kisha akariudi nyumbani kwake akimtukuza Mungu. \v 26 Kila mmoja alishangazwa na wakamtukuza Mungu. Walijawa na hofu, wakisema, "Tumeona mambo yasiyo ya kawaida leo."

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More