sw_luk_text_ulb/18/11.txt

1 line
278 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 11 Farisayo akasimama akaomba mambo haya juu yake mwenyewe, 'Mungu, nakushukuru kwa vile mimi si kama watu wengine ambao ni wanyang'anyi, watu wasio waadilifu, wazinzi, au kama huyu mtoza ushuru. \v 12 Nafunga mara mbili kila wiki. Natoa zaka katika mapato yote ninayopata. '