sw_job_text_reg/08/11.txt

1 line
160 B
Plaintext

\v 11 Je miti ya mafunjo yaota pasipo matope? Je mafunjo yaota pasipo maji? \v 12 Wakati yakiwa bado ya kijani na hayajakatwa, hunyauka kabla ya mmea mwingine.