sw_jhn_text_reg/15/16.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 16 Hamkunichagua mimi, bali mimi niliwachagua ninyi na kuwaweka mwende mazae matunda, na tunda lenu lipate kukaa. Hii liko hivi ili kwamba chochote muombacho kwa Baba kwa jina langu, atawapeni. \v 17 Mambo haya ninawaagiza, kwamba mpendane kila mtu na mwenzake.