sw_jhn_text_reg/06/19.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 19 Tena wanafunzi wake walipokuwa wamepiga makasia kama ishirini na matano au thelathini, wakamwona Yesu akitembea juu ya bahari kuukaribia mtumbwi, na wakaogopa. \v 20 Lakini akawambia, "Ni mimi! Msiogope." \v 21 Tena walikuwa tayari kumbeba kwenye mtumbwi, na mara mtumbwi ulifika kwenye nchi mahali walipokuwa wakienda.