sw_jhn_text_reg/04/43.txt

1 line
357 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 43 Baada ya siku hizo mbili, Yesu akaondoka na kuelekea Galilaya. \v 44 Kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa ametangaza kuwa nabii hana heshima katika nchi yake mwenyewe. \v 45 Alipokuja katika Galilaya, Wagalilaya walimkaribisha. Walikuwa wameona mambo yote aliyoyafanya Yerusalemu kwenye sikukuu, kwa sababu na wao pia walikuwa wamehudhuria kwenye sikukuu.