sw_jhn_text_reg/18/15.txt

1 line
369 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 15 Simon Petro alimfuata Yesu, na vivyo hivyo mwanafunzi mwingine. Na yule mwanafunzi alikuwa akifahamika kwa kuhani mkuu, naye akaingia pamoja na Yesu katika ua ya Kuhani mkuu; \v 16 lakini Petro alikuwa amesimama nje ya mlango. Basi yule mwanafunzi aliyekuwa akifahamika kwa kuhani mkuu, alitoka nje akaenda kuongea na yule mlinda mlango na kumwingiza Petro ndani.