sw_jhn_text_reg/17/25.txt

1 line
287 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 25 Baba mwenye haki, ulimwengu haukukujua wewe, lakini mimi nakujua wewe; na hawa wanajua kwamba ulinituma. \v 26 Nililifanya jina lako lijulikane kwao, na nitalifanya lijulikane ili kwamba lile pendo ambalo kwalo umenipenda mimi liweze kuwa ndani yao, na mimi niweze kuwa ndani yao."