sw_jhn_text_reg/16/32.txt

1 line
287 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 32 Tazama, saa inakuja, ndiyo na hakika imefika, ambapo mtatawanyika kila mmoja na kwao mtaniacha pekee. Lakini siko peke yangu kwa sababu Baba yupo nami. \v 33 Nawaambia mambo haya ili kwamba ndani yangu muwe na amani. Duniani mna matatizo, lakini jipeni moyo, nimeushinda ulimwengu.