1 line
181 B
Plaintext
1 line
181 B
Plaintext
|
\v 1 Nimewaambia mambo haya ili msiweze kukwazwa. \v 2 Watawatoa nje ya masinagogi; hakika saa inakuja ambayo kila atakayewaua atafikiri kuwa anafanya kazi njema kwa ajili ya Mungu.
|