sw_jhn_text_reg/15/26.txt

1 line
212 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 26 Wakati Mfariji amekuja, ambaye nitamtuma kwenu kutoka kwa Baba, huyu ndiye, Roho wa kweli, ambaye anatokea kwa Baba, atanishuhudia. \v 27 Ninyi pia mnanishuhudia kwa sababu mmekuwa pamoja nami tangu mwanzo.