sw_jhn_text_reg/10/40.txt

1 line
304 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 40 Yesu akaenda zake tena ng'ambo ya Yordani sehemu ambayo Yohana alikuwa akibatiza kwanza, na akakaa huko. \v 41 Watu wengi wakaja kwa Yesu huku wakisema, "Yohana kweli hakufanya ishara yoyote, lakini mambo yote aliyoyasema Yohana juu ya huyu mtu ni ya kweli." \v 42 Watu wengi wakamwamini Yesu hapo.