sw_jhn_text_reg/07/50.txt

1 line
295 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 50 Nikodemo akawaambia (yeye aliyemwendea Yesu zamani, akiwa mmoja wa Mafarisayo), \v 51 "Je sheria yetu inamhukumu mtu isipokuwa amesikilizwa kwanza na kujua anachokifanya?" \v 52 Walijibu na kumwambia, "Na wewe pia unatokea Galilaya? Tafuta na uone kwamba hakuna nabii aliyetokea Galilaya."