sw_jhn_text_reg/07/25.txt

1 line
329 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 25 Baadhi yao kutoka Yerusalemu wakasema, "Siye huyu wanayemtafuta kumwua? \v 26 Na tazama, anaongea wazi wazi, na hawasemi chochote juu yake. Haiwezi ikawa kwamba viongozi wanajua kweli kuwa huyu ni Kristo, inaweza kuwa? \v 27 Tunajua huyu mtu anatokea wapi. Kristo atakapokuja, hata hivyo, hakuna atakayejua wapi anakotoka."