sw_jhn_text_reg/07/23.txt

1 line
242 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 23 Iwapo mtu atapokea tohara katika siku ya Sabato ili kwamba sheria ya Musa isivunjwe, kwa nini mnanikasirikia mimi kwa sababu nimemfanya mtu kuwa mzima kabisa katika Sabato? \v 24 Msihukumu kulingana na mwonekano, bali hukumuni kwa haki.