sw_jhn_text_reg/07/12.txt

1 line
231 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 12 Kulikuwa na majadiliano mengi miongoni mwa makutano juu yake. Wengine walisema, "Ni mtu mwema." Wengine walisema, "Hapana, huwapotosha makutano." \v 13 Hata hivyo hakuna aliyezungumza waziwazi juu yake kwa kuwaogopa Wayahudi.