sw_jhn_text_reg/06/41.txt

1 line
247 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 41 Kisha wayahudi wakamnung`unikia kwa sababu alisema, "Mimi ni mkate ulioshuka kutoka mbinguni." \v 42 Wakasema, "Huyu siyo Yesu mwana wa Yusufu, ambaye baba yake na mama yake tunamfahamu? Imekuwaje sasa anasema, 'Nimeshuka kutoka mbinguni`?"