sw_jhn_text_reg/06/35.txt

1 line
275 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 35 Yesu akawambia, "Mimi ndiye mkate wa uzima, yeye ajaye kwangu hatapata njaa na yeye aniaminiye hatahisi kiu kamwe." \v 36 Ingawa niliwaambia kwamba, mmeniona, na bado hamuamini. \v 37 Wote ambao Baba anaonipa watakuja kwangu, na yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe.