sw_jhn_text_reg/06/32.txt

1 line
299 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 32 Kisha Yesu akawajibu, "Amini, amini, sio Musa aliyewapa mkate kutoka mbinguni, bali Baba yangu ndiye awapaye mkate wa kweli kutoka mbinguni. \v 33 Kwa kuwa mkate wa Mungu ni ule ushukao kutoka mbinguni na kuupatia uzima ulimwengu. \v 34 Basi wakamwambia, "Bwana tupatie huu mkate wakati wote."