sw_jhn_text_reg/05/33.txt

1 line
272 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 33 Mmetumana kwa Yohana naye ameishuhudia kweli. \v 34 Hatahivyo, ushuhuda ninaoupokea hautoki kwa mwanadamu. Ninayasema haya ili kwamba mweze kuokolewa. \v 35 Yohana alikuwa ni taa iliyokuwa ikiwaka na kung'ara, na mlikuwa tayari kuifurahia kwa muda kitambo nuru yake.