sw_jhn_text_reg/20/21.txt

1 line
283 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 21 Kisha Yesu akawaambia tena, "Amani iwe nanyi. Kama vile Baba alivyonituma mimi, vivyo hivyo nami nawatuma ninyi." \v 22 Yesu alipokwisha sema hayo, akawavuvia akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu. \v 23 Yeyote mmsameheye dhambi, wamesamehewa; na wale mtakaowafungia watafungiwa."