sw_jhn_text_reg/19/14.txt

1 line
362 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 14 Ilikuwa siku ya maandalizi ya pasaka panapo muda wa saa ya sita. Pilato akawaambia Wayahudi, "Tazameni mfalme wenu huyu hapa!" \v 15 Wakapiga kelele, "Mwondoshe, mwondoshe, msulubishe!" Pilato akawaambia, "Je, nimsulubishe mfalme wenu?" Naye Kuhani mkuu akajibu, "Sisi hatuna mfalme isipokuwa Kaisari." \v 16 Ndipo Pilato alipomtoa Yesu kwao ili asulibiwe.