sw_jhn_text_reg/19/10.txt

1 line
268 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 10 Kisha Pilato akamwambia, "Je, wewe huongei na mimi? Je, wewe hujui kuwa mimi nina mamlaka ya kukufungua na mamlakaya kukusulubisha?" \v 11 Yesu akamjibu, "Usingekuwa na nguvu dhidi yangu kama usingepewa toka juu. Kwa hiyo, mtu aliyenitoa kwako ana dhambi kubwa."