sw_jhn_text_reg/18/33.txt

1 line
359 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 33 Basi Pilato akaingia tena Praitorio akamwita Yesu; akamwambia, "Je, wewe ni mfalme wa Wayahudi?" \v 34 Yesu akamjibu, "Je, wewe waniuliza swali hili kwa Sababu wataka kujua au kwa sababu wengine wamekutuma ili uniulize mimi?" \v 35 Naye Pilato akamjibu, "Mimi si Myahudi, au sivyo?" Taifa lako na kuhani mkuu ndio waliokuleta kwangu; wewe umefanya nini?