sw_jhn_text_reg/13/19.txt

1 line
235 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 19 Ninawambia hili sasa kabla halijatokea ili kwamba litakapotokea, muweze kuamini kuwa mimi NDIYE. \v 20 "Amini, amini, nawambia, anipokeaye mimi humpokea ambaye nina mtuma, na yule anipokeaye mimi humpokea yule aliye nituma mimi."