sw_jhn_text_reg/12/20.txt

1 line
313 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 20 Sasa baadhi ya Wayunani walikuwa miongoni mwa wale waliokuwa wakienda kuabudu kwenye sikukuu. \v 21 Hawa walimwendea Filipo, ambaye alitoka Bethsaida ya Galilaya, wakamwomba wakisema, "Bwana, sisi tunatamani kumwona Yesu." \v 22 Filipo akaenda akamwambia Andrea; Andrea na Filipo wakaenda na kumwambia Yesu.