sw_jhn_text_reg/11/12.txt

1 line
252 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 12 Ndipo wanafunzi wakamwambia, "Bwana, kama amelala, ataamka. \v 13 Wakati huu Yesu alikuwa akizungumza habari za kifo cha Lazaro, lakini wao walidhani anazungumza juu ya kulala usingizi. \v 14 Ndipo Yesu akazungumza nao wazi wazi, "Lazaro amekufa.