sw_jhn_text_reg/11/10.txt

1 line
247 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 10 Hata hivyo, ikiwa atatembea usiku, atajikwaa kwa sababu nuru haiko ndani yake." \v 11 Yesu akasema mambo haya, na baada ya mambo haya, akawaambia, "Rafiki yetu Lazaro amelala, lakini ninakwenda ili kwamba nipate kumuamsha kutoka usingizini."