sw_jhn_text_reg/10/37.txt

1 line
300 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 37 "Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, msiniamini. \v 38 Hata hivyo, ikiwa ninazifanya, hata kama hamniamini, ziaminini kazi ili kwamba muweze kujua na kufahamu kwamba Baba yuko ndani yangu na mimi niko ndani ya Baba." \v 39 Wakajaribu tena kumkamata, lakini Yesu alienda zake kutoka mikononi mwao.