sw_jhn_text_reg/10/29.txt

1 line
212 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 29 Baba yangu, aliyenipa hao, ni mkuu kuliko wengine wote, na hakuna hata mmoja awezaye kuwanyakua kutoka mkononi mwa Baba. \v 30 Mimi na Baba tu mmoja." \v 31 Hapo Wayahudi wakachukua mawe ili wampige tena.