sw_jhn_text_reg/09/35.txt

1 line
305 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 35 Yesu alisikia kwamba wamemwondoa kwenye sinagogi. Alimpata na kumwambia, "Unamwamini Mwana wa Mtu?" \v 36 Alijibu na kusema, "Ni nani, Bwana, ili nami nipate kumwamini?" \v 37 Yesu akamwambia, "Umeshamuona, naye unayezungumza naye ndiye." \v 38 Yule mtu akasema, "Bwana, Naamini." Ndipo akamsujudia.