sw_jhn_text_reg/09/32.txt

1 line
317 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 32 Tangu kuanza kwa Ulimwengu haijawahi kamwe kusikiwa kwamba yeyote ameyafumbua macho ya mtu aliyezaliwa kipofu. \v 33 Ikiwa mtu huyu hakutoka kwa Mungu, asingelifanya chochote." \v 34 Walijibu na kumwambia, "Ulizaliwa katika dhambi kabisa, na wewe unatufundisha sisi?" Ndipo walipomfukuza kutoka katika sinagogi.