sw_jhn_text_reg/09/10.txt

1 line
266 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 10 Wakamwambia, "Basi macho yako yalifunguliwaje?" \v 11 Alijibu, mtu aitwaye Yesu alifanya tope na kupaka macho yangu na kuniambia, 'Nenda Siloam ukanawe.' Kwa hiyo nikaenda, na nikanawa, na nikapata kuona tena." \v 12 Wakamwambia, "Yuko wapi?" Alijibu, "Sijui."