sw_jhn_text_reg/08/45.txt

1 line
269 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 45 Hata sasa, kwa sababu ninasema iliyo kweli, hamniamini. \v 46 Ni nani kati yenu anayenishuhudia kuwa nina dhambi? ikiwa ninasema iliyo kweli, kwa nini hamniamini? \v 47 Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; ninyi hamyasikii kwa sababu ninyi si wa Mungu."