1 line
227 B
Plaintext
1 line
227 B
Plaintext
|
\v 23 Yesu akawaambia, "Mnatoka chini; mimi natoka juu. Ninyi ni wa Ulimwengu huu; mimi si wa ulimwengu huu. \v 24 Kwa hiyo, naliwaambieni kuwa mtakufa katika dhambi zenu.Msipoamini kuwa MIMI NDIYE, mtakufa katika dhambi zenu".
|