sw_jhn_text_reg/07/40.txt

1 line
307 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 40 Baadhi ya makutano, waliposikia maneno haya, walisema, "Kweli huyu ni nabii." \v 41 Wengine walisema, "Huyu ni Kristo." Lakini wengine walisema, "nini, Kristo aweza kutoka Galilaya? \v 42 Maandiko hayajasema kuwa Kristo atatokea katika ukoo wa Daudi na kutoka Bethlehemu, kijiji ambacho Daudi alikuwa?