sw_jhn_text_reg/07/35.txt

1 line
269 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 35 Kwa hiyo Wayahudi wakasemezana wao kwa wao, "Mtu huyu atakwenda wapi kwamba tusiweze kumuona? Ataenda kwa Waliotawanyika kati ya Wayunani na kuwafundisha Wayunani? \v 36 Ni neno gani hili alilolisema, 'Mtanitafuta wala hamtaniona; kule niendako hamtamweza kuja'?"