sw_jer_text_reg/46/05.txt

6 lines
648 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 5 Ninaona nini hapa? Wana woga na wanakimbia, maana askari wao wameshindwa kabisa. Wanakimbia kwa usalama na hawaangalii nyuma. Kitisho kipo mahali pote--ili ni tamko la Yahwe-- \v 6 wepesi hawawezi kukimbia, na askari hawezi kukwepa. Wana jikwaa kaskazini na kuanguka kando ya mto Frati.
=======
\v 5 Ninaona nini hapa? Wana woga na wanakimbia, maana askari wao wameshindwa. Wanakimbia kwa usalama na hawaangalii nyuma. Kitisho kipo mahali pote - hili ni tamko la Yahwe - \v 6 wepesi hawawezi kukimbia, na askari hawezi kukwepa. Wanajikwaa kaskazini na kuanguka kando ya mto Frati.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113