<<<<<<< HEAD \v 5 Ninaona nini hapa? Wana woga na wanakimbia, maana askari wao wameshindwa kabisa. Wanakimbia kwa usalama na hawaangalii nyuma. Kitisho kipo mahali pote--ili ni tamko la Yahwe-- \v 6 wepesi hawawezi kukimbia, na askari hawezi kukwepa. Wana jikwaa kaskazini na kuanguka kando ya mto Frati. ======= \v 5 Ninaona nini hapa? Wana woga na wanakimbia, maana askari wao wameshindwa. Wanakimbia kwa usalama na hawaangalii nyuma. Kitisho kipo mahali pote - hili ni tamko la Yahwe - \v 6 wepesi hawawezi kukimbia, na askari hawezi kukwepa. Wanajikwaa kaskazini na kuanguka kando ya mto Frati. >>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113