Tue Sep 06 2022 12:08:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 12:08:15 +03:00
parent 3477af8f4b
commit e87f9591e6
3 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Lakini nimejazwa na hasira za Bwana. Nimechoka kuizuia. Aliniambia, "Imwage mbele ya watoto mitaani na katika makundi ya vijana. Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake; na kila mzee mwenye miaka mingi. \v 12 Nyumba zao watapewa watu wengine, kwa kuwa nitawavamia wakazi wa nchi kwa mkono wangu - asema Bwana Mungu wa majeshi.
\v 11 Lakini nimejazwa na hasira za Bwana. Nimechoka kuizuia. Aliniambia, "Imwage mbele ya watoto mitaani na katika makundi ya vijana. Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake; na kila mzee mwenye miaka mingi. \v 12 Nyumba zao watapewa watu wengine. Kwa kuwa nitawavamia wakazi wa nchi kwa mkono wangu - asema Bwana Mungu wa majeshi.

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 BWANA amesema hayo kutoka kwa mdogo hadi kwa mkubwa, kila mmoja anatamani mapato ya udanganyifu. Kuanzia kuhani hadi nabii, Kila mmoja anafanya hila. \v 14 Lakini wameponya vidonda vya watu wangu kwa juu juu tu. Wanasema, 'Amani! Amani! na kumbe amani haipo. \v 15 Je, waliona aibu walipofanya machukizo? Hasha, hawakuona aibu! Hawakuwa na aibu. Kwa hiyo wataanguka pamoj na wale watakaoanguka wakati nitakpowaadhibu. Wataangushwa chini," asema BWANA.
\v 13 Bwana amesema hayo kutoka kwa mdogo hadi kwa mkubwa, kila mmoja anatamani mapato ya udanganyifu. Kuanzia kuhani hadi nabii, Kila mmoja anafanya hila. \v 14 Lakini wameponya vidonda vya watu wangu kwa juu juu tu. Wanasema, 'Amani! Amani! na kumbe amani haipo. \v 15 Je, waliona aibu walipofanya machukizo? Hasha, hawakuona aibu! Hawakuwa na aibu. Kwa hiyo wataanguka pamoj na wale watakaoanguka wakati nitakpowaadhibu. Wataangushwa chini," asema BWANA.

View File

@ -98,6 +98,8 @@
"06-01",
"06-04",
"06-06",
"06-09",
"06-11",
"26-title",
"26-01",
"26-04",