Tue Sep 06 2022 12:06:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-09-06 12:06:14 +03:00
parent 9cc843fba2
commit 3477af8f4b
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, "Hakika wataokota mabaki ya Isreli waliobaki kama zabibu. Nyosha mkono wako ili uchume zabibu. \v 10 Nitamwambia nani na kumwonya nani ili wasikilize? Tazama! Masikio yao hayakutahariwa; hayawezi kutilia manani! Tazama! Neno la BWANA limekuja kuwarudi, lakini hawalitaki."
\v 9 Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, "Hakika wataokota mabaki ya Israeli waliobaki kama zabibu. Nyosha mkono wako ili uchume zabibu. \v 10 Nitamwambia nani na kumwonya nani ili wasikilize? Tazama! Masikio yao hayakutahariwa; hayawezi kutilia maanani! Tazama! Neno la Bwana limekuja kuwarudi, lakini hawalitaki."

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Lakini nimejazwa na hasira za BWANA. Nimechoka kuizuia. Aliniambia, "Imwage mbele ya watoto mitaani na katika makundi ya vijana. Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake; na kila mzee mwenye miaka mingi. \v 12 Nyumba zao watapewa watu wengine, kwa kuwa nitawavamia wakazi wa nchi kwa mkono wangu - asema BWANA wa majeshi.
\v 11 Lakini nimejazwa na hasira za Bwana. Nimechoka kuizuia. Aliniambia, "Imwage mbele ya watoto mitaani na katika makundi ya vijana. Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake; na kila mzee mwenye miaka mingi. \v 12 Nyumba zao watapewa watu wengine, kwa kuwa nitawavamia wakazi wa nchi kwa mkono wangu - asema Bwana Mungu wa majeshi.