Mon Nov 07 2022 11:04:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 11:04:34 +03:00
parent b4fae90588
commit e3a08fbbf3
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kutoweka. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana waharibuo wamekuja kinyume chake--kinyume cha Babeli!--na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza malipizhiki.
\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kutoweka. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana waharibuo wamekuja kinyume chake--kinyume cha Babeli!--na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza malipizi haya.

View File

@ -1 +1 @@
\v 57 Maana nitawafanya wana wafalme wake, wenye hekima wake, maofsa wake, na maaskari wake kulewa, nao watalala usingizi kwa usingizi usioisha na bila kuamka - hili ni tamko la mfalme: Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 58 Yahwe wa majeshi asema hivi: Ukuta mnene wa Babeli utaangushwa kabisa, na malango marefu yataunguzwa. Kisha watu wanaokuja kumsaidia watafanya kazi isiyofaa; kila mataifa wanachojaribu kikifanya kwa ajili yake kitateketezwa kwa moto."
\v 57 Maana nitawafanya wana wafalme wake, wenye hekima wake, wakuu wake, na maaskari wake kulewa, nao watalala usingizi kwa usingizi usioisha na bila kuamka - hili ni tamko la mfalme: Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 58 Yahwe wa majeshi asema hivi: Ukuta mnene wa Babeli utaangushwa kabisa, na malango marefu yataunguzwa. Kisha watu wanaokuja kumsaidia watafanya kazi isiyofaa; kila mataifa wanachojaribu kikifanya kwa ajili yake kitateketezwa kwa moto."

View File

@ -183,6 +183,7 @@
"51-45",
"51-47",
"51-50",
"51-52"
"51-52",
"51-54"
]
}