Mon Nov 07 2022 11:02:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 11:02:34 +03:00
parent d03789813b
commit b4fae90588
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kutoweka. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana aharibuye amekuja kinyume chake - kinyume cha Babeli! - na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza kisasi hiki.
\v 54 Kilio cha maangamizi kilitoka Babeli, anguko kubwa kutoka nchi ya Wakaldayo. \v 55 Maana Yahwe anaiharibu Babeli. Anaifanya kelele ya sauti yake kutoweka. Adui zake wanaunguruma kama mawimbi ya maji mengi; kelele yao imekuwa na nguvu. \v 56 Maana waharibuo wamekuja kinyume chake--kinyume cha Babeli!--na shujaa wake wametekwa. Pinde zao zimevunjwa, maana Yahwe ni Mungu wa kisasi; atatekeleza malipizhiki.